Thursday, March 1, 2012

KIKAO CHA HARUSI YA ACHOTO NA STEPHANO

Achoto na Stephano  wanawakaribisha wote kwenye kikao chao cha Harusi yao Jumapili March 4, 2012 saa 12 jioni (6pm) kitakachofanyikia nyumbani kwao Bowie, Maryland wote karibuni

1 comment:

  1. Hongera sana dada Achoto, mbarikiwe sana wewe na familia yako.

    ReplyDelete

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake