Sunday, March 4, 2012

LINAH KUWASHA MOTO USA

Linah akipiga picha ya pamoja na Mercy Ligate kwenye mgahawa wa Kijiji cha Swahili uliopo Beltsville, Maryland, Linah amekuja Marekani kwa ajili ya Tour atakayofanya Mikoa tofauti ikiwemo DMV wapi na lini TEGA SIKIO.

Msikilize kwenye video ya wimbo wa Yalaiti alioshirikiana na Mwana FA

No comments:

Post a Comment

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake