Saturday, March 3, 2012

LOOK OF THE DAY

Emmaqulqtor Telwa From Hydrabad, India

2 comments:

  1. Huyu mtu kwenye picha, mawasliano yake yanapatikana vipi?.
    Vile vile uwe taratibu mzee na hizi "Look of The Day",(LoTD) ndani ya nyumba yangu hakuna tena amani. Mimi ni mpenzi wa hii blog, lakini ninapokutana na mambo kama haya LoTD basi moyo hunienda mbio.

    ReplyDelete
  2. Dj Luke mtuangalie na sisi wanawake, tunaomba mtupatie LOOK OF THE DAY ya WANAUME. Ombi maalum

    ReplyDelete

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake