Jumatatu March 19, 2012 Prof Julius Nyang'oro wa Chuo Kikuu cha Carolina ya Kasikazini Nchini Marekani ataongea na Vijimambo akitueleza historia yake kwa ufupi na katika kitabu cha "WASIFU WA JK" kwanini amemchagua Rais Kikwete badala ya Marais waliopita na ukitaka kujiunga na vyuo vya Marekani kwa Ada nafuu unatakiwa ufanye nini!!
USIKOSE
JK!!! Seriously!!!??
ReplyDelete