Tuesday, March 20, 2012

PICHA ZA KIOTA KIPYA CHA MARAHA..ITAKAPOFANYIKA PARTY YA MARA MOJA KWA MWEZI "THE NETWORK 3" JUMAMOSI HII MARCH 24..HOSTED BY ZIMBABWE SUPER MODEL!!

Juu na chini ni Twasila ya kiota kipya cha makamuzi ya kila mwezi ya The Net Work 3 itakayofanyika Jumamosi hii March 24, 2012 
Maporomota DMK Global, J&P Entertainment na NXT LVL wakitia saini mkataba wa uhalali wao wa kuwepo Jumamosi Hii ya March 24, 2012 kwenye kiota hicho huku wakirekebisha mahesabu ya mapango mzima. USIKOSE

1 comment:

  1. Hahahahhahahahhahahahahhahahhaha !!!!!!!!!!!!!!!!!!

    ReplyDelete

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake