Wednesday, March 14, 2012

 
Rais Jakaya Kikwete amemteua Balozi Liberata Mulamula (pichani) kuwa Msaidizi wa Rais Mwandamizi, masuala ya Diplomasia, kabla ya uteuzi huo Balozi Mulamula alikuwa katibu mtendaji wa Nchi za Maziwa Makuu.

1 comment:

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake