Monday, March 5, 2012

TZ Houston Team kwenye maandalizi makali ya Safari ya DC

Wachezaji wa timu ya Houston wakiwa kwenye mazoezi makali wakijiandaa kujaDC kwenye Vijimambo 2 years anniversary SoccerTournament itakayofanyikia Landover Maryland Jumamosi March 31, 2012 na baadae sherehe kuendelea Mirage Hall.
Wachezaji wa Houston (Serengeti Boyz) wakijifua vikali kujiandaa na safari yao ya DC kwenye sherehe za Vijimambo 2 years Anniversary soccer Tournament.
Moja ya mchezaji wa Houston akipata picha wakati timu ya Houston (Serengeti Boyz) ilipokua ikijifua kwa ajili wa Vijimambo 2 years Anniversary Soccer Tournament.
Mchezaji foward kali ya ya Houston akifanya mazoezi ya kukimbia na mpira.
Wachezaji wa Houston (Serengeti Boyz) wakipata picha ya pamoja kabla ya kuanza mazoezi wakijiandaa na Vijimambo 2 years Anniversary Soccer Tournament.
Wachezaji na mashabiki wakiwa kwenye Benchi wakiangalia mazoezi yanavyoendelea.
(Picha kwa hisani ya http://mlongokihoma.blogspot.com/)

No comments:

Post a Comment

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake