Timu ya Yanga kutoka Tanzania imepata kichapo cha goli moja kwa bila na timu ya Zamalek ya Misri leo , katika mchezo uliofanyika nchini humo jioni ya leo ikiwa ni michuano ya Klabu Bingwa Afrika, wiki mbili zilizopita hapa jijini Dar es salaam Zamalek iliilazimisha Yanga kwa kufungana goli 1-1 kwenye uwanja wa |Taifa
No comments:
Post a Comment
bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake