Sunday, April 22, 2012

DADAZ WA COLUMBUS MPO JUU

hili sio duka bali ni Kokoko za dadaz wa Columbus Ohio wapo juu kwa fasheni na wanaenda na wakati
kutoka kushoto ni Happyness, Kemmy, Amina na Maryam wakipata Ukodak moment

1 comment:

  1. wakina dada wa columbus nimependa mlivyovaa..na rangi za nguo na viatu vyenu

    ReplyDelete

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake