MAMA MZAZI WA LULU AONGELEA KUHUSU MWANAE NA KIFO CHA KANUMBA
Msikilize Mama mzazi wa msanii wa filamu Elizabeth Michael "Lulu", Anastasia Aminike akielezea kuhusu mwanae na kifo cha Msanii Steven Charles Kanumba.
3 comments:
Anonymous
said...
Mama pole sana kwa yaliyomkuta mwanao. Hapaswi kulaumiwa hata kidogo kwa kifo cha rafiki yake (possibly 2nd degree murder as negligence homocide). Tuiachie mahakama imtendee haki. Lakini wewe kama mama mzazi, ulikuwa na nafasi kubwa ya kumfunza mwanao adabu, hata kama ni "star". Mtoto wa kike ndo kwanza katimiza miaka 18 lakini sidhani kama ulifahamu alikwenda kulala wapi na nani. Na kama alianza tabia hiyo akiwa under-age, ni makosa yenu wazazi. Nimemsikiliza katika interviews zake za nyuma, inaonenekana kuwa alidekezwa sana na wazazi hamkuwa na sauti dhidi yake. Sasa hivi kama mzazi unakula matapishi yako mwenyewe. Hili ni fundisho kwa wazazi wenye mabinti wadigo. Kitendo cha mtoto wa kike kuwa nje ya nyumbani ni hatari hata kwa maisha yake. Wewe ulichotakiwa kufanya katika kipindi hiki cha majonzi ni ku-shut the f..k and get out of town.
kama mtu ataweza kumwambia huyu mama "akae chini na kunyamaza" itakuwa vizuri naona bado haijamwingia kichwani kuwa mwanawe kaua..... mtu mpaka kutikisika ubongo ni lazima kampiga kisawasawa sio tu ya kimapenzi.... wazungu huku ulaya wanasema "you rip what you sew"
Angekuwa mtu mwingine kapata fursa ya kuongea kama huyu mama angeonyesha huzuni sana ila yeye anakimbilia kuzungumzia vitu vya magazetini badala ya hata kutoa chozi pale na kutuonyesha kuwa kweli tumefikwa na matatizo anyways, "mtoto umleavyo"

Naona huyu mama bado hajui kosa la mwanawe. sijui hata ni loya gani atakaemtoa kwa hili janga afadhali hata asingefanya hii intavyu
Post a Comment