ANGALIA LIVE NEWS

Sunday, April 29, 2012

MAZOEZI KUMTAFUTA MISS UKONGA YAENDELEA KWA KASI


Baadhi ya warembo wanaowania taji la Miss Ukonga wakiwa katika pozi.
Mmoja wa washiriki akiwaonyesha wenzake pozi la kusimama.
Washiriki wakisikiliza kwa makini.
Lundenga akiongea jambo kwa washiriki.
Salha Israel (wa pili kulia) akiongea.
Aliyekuwa mtangazaji wa kipindi cha Jahaz,i Capt. Gadina G. Habash, naye alizungumza.
Warembo wa Ukonga wakiwa katika picha ya pamoja.
Mashindano ya kumtafuta Miss Ukonga 2012 kitongoji cha jijini Dar es Salaam, yanendelea kwa kasi katika Ukumbi maarufu Hiltec uliopo Ukonga, Banana,  jijini Dar es Salaam ambapo warembo hao wanadai kila moja atakuwa mshindi katika shindano hilo.
 Mazoezi hayo yalishuhudiwa na Miss Tanzania wa sasa, Salha Israel, na Mkurugenzi wa Kamati ya Miss Tanzania, Hashim Lundenga. ambao walitoa ushauri kadhaa kwa warembo hao.
Fainali ya mazoezi hayo itafanyika Mei 5 mwaka huu katika Ukumbi wa Wenge Guarden ulipo Ukonga FFU.

                                    PICHA HABARI NA HARUNI SANCHAWA GPL

1 comment:

Anonymous said...

Mze Lundenga nakuonea wivu kwa vyakula vyako vya kesho hivyo. Dah sijui nami nije nigombanie urais ili niwe nawaonja hawa madada?