Tuesday, April 17, 2012

Picha zaidi za Uchaguzi DMV kutoka kwa mdau.

Genes Malasy-Muweka Hazina
Amos Cherehani-Katibu
Iddi Sandaly-Rais

kwa picha zaidi tembelea:
http://iskajojo.smugmug.com/Events/Tanzanian-Election/22490695_Zd6SgH#!i=1798758727&k=qn5GxVk

3 comments:

  1. wanawake jitokezeni kugombea nafasi sa wasaidizi wa katibu na mweka hazina. huu uongozi wanaume wamekuwa wengi, we gotta mix it up

    ReplyDelete
  2. SAWA NAKUBALIANA NA WEWE WANAWAKE WAJITOKEZE KWA WINGI LAKINI WAWE NA SIFA ,SIO TU KWA SANABU NI MWANAMKE.

    ReplyDelete
  3. sifa i am sure zipo, kigingi ni pale mtu unakuwa hauna Masters

    ReplyDelete

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake