Sunday, April 22, 2012

SALAAM KUTOKA UGHAIBUNI

Kijana Muga kuotoka Columbus, Ohio akituma salaam kwa vijana wote wa maskani Manzese, Dar Es Salaam Tanzania nipo Columbus, Mungu akipenda tutaonana tena Kijiweni. 

1 comment:

  1. baba umeukata haya kazi kwako piga box kwa nguvu nakuaminia wangu wa manzese
    salaam kutoka california

    ReplyDelete

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake