Monday, May 21, 2012

KWETU FASHION DESIGN BY MISSY TEMEKE

kutoka kushoto ni Balozi wa AU Mhe. Amina Salum Ali,Balozi wa Tanzania Nchini Marekani na Mexico, Mhe. Mwanaidi Maajar na Liberata Mulamula msaidizi mwandamizi wa Rais maswala ya Diplomasia. Nguo aliyovaa Mhe. Mwanaidi Maajar imedizainiwa na Missy Temeke, mwenye maskani yake Silver Spring, Maryland.

2 comments:

  1. gud job miss temeke,all the best

    ReplyDelete
  2. Missy keep it up utafika mbali nakuaminia, Balozi amependeza sana .

    ReplyDelete

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake