Mwanamuziki wa kizazi kipya Linah akiwa amefika Boston tayari kuwasha moto leo jumamosi May 12, 2012 Knight Of Columbus mjini Leominster ilikua mawiki, masiku sasa zimebaki saa kadhaa kwa show hiyo ya kukata na shoka na inayosubiliwa na wakaazi wa Massachusetts na vitongoji vyake pichani ni Linah akiwa na pomota wake J& P Entertainment wakiperuzi vitu viwili vitatu baada ya kupata kifungua kinywa.
No comments:
Post a Comment
bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake