Rais wa DMV Iddi Sandaly akiwa ndani ya Africa Day sikuya Jumatano May 23, 2012 kwenye ukumbi wa Marriott Hotel Washington, DC hapa akiwa na Missy Temeke ambae siku hiyo alikua Model aliyeambatana na Mhe. Balozi Mwanaidi Maajar, Balozi wa Tanzania Nchini Marekani na Mexico.
No comments:
Post a Comment