Monday, May 21, 2012

TAARIFA YA DUA/KISOMO


Tunaombwa tushirikiane wote na Kaka yetu Kassim Khamis na dada yetu Jasmine Rubama katika KISOMO CHA KUMUOMBEA Marehemu Baba yao mzazi Sheikh Salum Khamis.


Kisomo Kitafanyika Jumapili hii May 27, 2012.


Muda: 5.00PM
Kisomo kitafanyika:
Pilgrim Hills Local Park 

1615 E. Randolph RD 
Colesville, MD, 20904
Asanteni Sana

No comments:

Post a Comment

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake