Saturday, June 30, 2012

HERI YA SIKU YA KUZALIWA

Edward Taji
Leo June 30, 2012 ni Siku ya kuzaliwa ya waridi na waziri mkuu wa moyo wangu, penzi lako kwangu ni dhahabu, namshukuru Mwenyezi Mungu kwa kuniongoza kwako, penzi unalonipa ni kama pumzi ya maisha yangu, daima kulikosa siwezi. Nakutakia siku njema itakayofanya ndoto zako ziwe kweli, Mwenyezi Mungu akupe Kheri na Baraka.

Ismahan

2 comments:

  1. Happy birthday bro, nasubiria tu harusi na mamaa wa ukweli Isma

    ReplyDelete
  2. birthday imetupita hiyo, who is that ismahan? congraturations bro, tunaomba ndoa sasa.

    ReplyDelete

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake