Thursday, June 28, 2012

Hivi Ndivyo anaonekana Dr Ulimboka Stephen akiwa ICU-Muhimbili







Picha kwa hisani ya Wavuti.com

3 comments:

  1. CCM Oyeeeeeeeee!

    ReplyDelete
  2. Ulipata consent ya mgonjwa? Nchi zingine wewe unashitakiwa kwa kukiuka haki za mgonjwa. You are really unprofessional, ulisoma wapi uandishi wa habari? Bwana akurehemu. Afya njema tunakutakia Dr Uli

    ReplyDelete
  3. Hatufurahi ila naye ana roho mbaya ya kuacha wananchi wasiokuwa na hatia kufa kwa ajili ya yeye kuhamasisha mgomo nchi nzima. Huyo naye ni muuaji. Hata maandiko matakatifu yanasema auaye kwa upanga naye atauawa kwa upanga. Hivyo huenda Mungu mwenyewe kamlipizia kwa matendo yake.

    ReplyDelete

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake