Ulipata consent ya mgonjwa? Nchi zingine wewe unashitakiwa kwa kukiuka haki za mgonjwa. You are really unprofessional, ulisoma wapi uandishi wa habari? Bwana akurehemu. Afya njema tunakutakia Dr Uli
Hatufurahi ila naye ana roho mbaya ya kuacha wananchi wasiokuwa na hatia kufa kwa ajili ya yeye kuhamasisha mgomo nchi nzima. Huyo naye ni muuaji. Hata maandiko matakatifu yanasema auaye kwa upanga naye atauawa kwa upanga. Hivyo huenda Mungu mwenyewe kamlipizia kwa matendo yake.
3 comments:
CCM Oyeeeeeeeee!

Post a Comment