Tuesday, June 5, 2012

Maombi ya Asubuhi

Mchungaji Peter  Igogo anawakaribisha ndugu wote katika huduma ya maombi ya asubuhi ambayo yanaanza rasmi kesho june 6, 2012 asubuhi Kutakuwa na awamu mbili za dakika 30. Awamu ya kwanza saa 11:30-12 asubuhi  ( 5:30am- 6:00am) na awamu ya pili itaanza 12 asubuhi-12:30 asubuhi (6:00am-6:30am). Ni huduma kwaajili ya kuanza vyema siku yako na uwepo na ulinzi wa Mungu.Muda huu ni  Eastern Time kwa wale walioko Marekani.

Maombi ya ANZA SIKU YAKO NA BWANA maombi haya yatafanyika kwa njia ya simu katika namba Tel:605 477 2100 password 640968 kwa waishio Marekani kama upo nje ya Marekani anza na 01.
pia ninapatikana kwa namba Cell:301 377 3443. Njoo tuanze siku  na Bwana

Mungu na Akubariki sana

Mchungaji Peter Igogo
Cell: 301 377 3443


1 comment:

  1. Huyu Mchungaji anatoka kanisa gani? Maombi yatakuwa yakifanyika kwa ligha gani?

    ReplyDelete

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake