Saturday, June 30, 2012

MIILI YA WAETHIOPIA YAZIKWA LEO


 Miili ya Wasomali hao ikiwa inashushwa jwa ajili ya kuzika
 Shughuli za Mazishi zimeanza 
Haya ndiyo makaburi yanapo zikwa

Miili 22 ya Wasomali waliokuwa wakati wakisafiri kutoka nchini Ethiopia kwenda nchi za Malawi na Afrika kusini kwa lengo la kusaka maisha bora wamezikwa kwenye makaburi ya kola mkoani Morogoro.
Miili mingine 22 imezikwa mkoani Dodoma.
Picha kwa hisani yaThis Day magazine

No comments:

Post a Comment

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake