Mbunge wa Ubungo (CHADEMA), John Mnyika akihutubia na kutoa somo la kudai uwajibikaji wa serikali kwa wananchi, elimu ya katiba mpya na M4C, kwa wanakijiji katika maeneo ya wilaya tofauti za Newala na Nanyumbu.
Mbunge wa Ubungo (CHADEMA), John Mnyika akisikiliza maswali baada ya kutoa somo la kudai uwajibikaji wa serikali kwa wananchi, elimu ya katiba mpya na M4C, kwa wanakijiji katika maeneo ya wilaya tofauti za Newala na Nanyumbu.
Mbunge wa Ubungo (CHADEMA), John Mnyika akimsikilzia Katibu wa Tawi wa CUF, Bi. Zaituni baada ya kutoa somo lakudai uwajibikaji wa serikali kwa wananchi, elimu ya katiba mpya na M4C, kwa wanakijiji katika maeneo ya wilaya tofauti za Newala na Nanyumbu.
(Picha na Habari na Kurugenzi Ya Habari-CHADEMA)
No comments:
Post a Comment