Advertisements

Wednesday, June 6, 2012

Picha zaidi za baby shower ya Shantale iliyofanyika Jumapili Juni 3, 2012 Silver Spring, MD

Shantele akipata ukodak moment kabla ya kuingia kwenye baby shower yake iliyofanyika Silver Spring maryland siku ya Jumapili Juni 3 2012

 Meza kuu iliyoandaliwa na Da Carol kwa ajili ya siku maalumu ya Shantele.

 keki kwa ajili ya Shantele pamoja na Watermelon lililopambwa na Farida Catering maalumu kwa ajili ya shughuli ya mdogo wake
 Shantele akiwa na mpambe wake Geradine baada ya kuingia ukumbini

 Marafiki wa Shantele wakishow love na kumtakia baraka njema
Shantele akitoa shukhurani kwa ndugu na marafiki waliompatia zawadi na kumtakia mema

Kwa picha zaidi, mtembelee iskaJoJo
http://iskajojo.smugmug.com/Baby-Showers/Shantale-baby-Shower/23358220_3JTPJ5#!i=1887956390&k=Tkg7JRm

No comments: