Tuesday, June 5, 2012

TASWILA ZA KUAPISHWA WABUNGE WA EALA.

Mh. Omar Kimbisa akila kiapo 
Mh. Angela Charles Kiziga akila kiapo chake
Mh. Abdullah Ali Hassan Mwinyi akila kiapo chake 
Mh. Charles Makongoro Nyerere akila kiapo chake
Mh. Samuel Sitta ni muwakilishi wa Tanzania 
Huyu ndiye Speaker wa Bunge la Afrika Mashariki Mh. Ziwa kutoka Uganda, kura zilipigwa na nyingi zikamuangukia yeye.
My sis Maryam Mbilinyi mke ya Hartmaan na msanii Jaffarai nao walikuwepo kushudia tukio hilo
Masii Lady Jay Dee aka Komandoo pia hakukosekana kushudia tukio hilo ambapo rafiki yake mpendwa Mh. Shy-Rose Bhanji alikuwa mmoja wapo ya wabunge walio kula kiapo
Mh. Catherine Maige nae alikuwepo na kushoto kwake ni mke wa Mh. Omar Kimbisa 
 
Mr & Mrs Gardner Habash wametokelezaje
Jaffari & Gardner katika pose
Shy-Rose akiwa katika picha ya pamoja na ndugu na marafiki zake walio funga safari kwenda Arusha kushudia kuapishwa kwake kuwa mbunge rasmi wa Afrika Mashariki.

Picha na habari zaidi mtembelee http://williammalecela.blogspot.com/

No comments:

Post a Comment

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake