Advertisements

Friday, June 15, 2012

WAFANYAKAZI WA SHIRIKA YA UMOJA WA MATAIFA (UN) NA LA AFYA DUNIANI (WHO) WACHANGIA DAMU JIJINI DAR


 Mshauri Mkuu wa Mratibu Mkazi wa Umoja wa Mataifa nchini Bw. Christopher  John Ozga akifanyiwa vipimo na  Bw. Deochris Kaimukilwa baada ya kujitolea damu.
  Mshauri Mkuu wa Mratibu Mkazi wa Umoja wa Mataifa nchini Bw. Christopher  John Ozga (kushoto) akiwa katika zoezi la kuchangia damu ikiwa ni kilele cha maadhimisho ya uchangiaji damu duniani. Aliyesimama ni Afisa kutoka Mpango wa Taifa wa Damu Salama Bw. Deochris Kaimukilwa.
 Ramadhani Ndimba kutoka NASP .
 Charles Lutandula wa WHO akifanyiwa vipimo vya awali na Mtaalamu kutoka mpango wa Taifa wa Damu Salama Bi. Edith Senga kabla ya kuchangia damu.
Charles Lutandula wa (WHO) katika zoezi la uchangiaji damu.
 Mtangazaji wa Radio France International (RFI Kiswahili) Emmanuel Makundi akifanya mahojiano na  Bw. Hashim Mahige wakati wa zoezi kuchangia damu lililofanyika katika Ofisi za shirika la Afya Duniani (WHO) jijini Dar es Salaam ikiwa ni kilele cha maadhimisho ya uchangiaji damu duniani.

1 comment:

Anonymous said...

HIZI DAMU WANAZOJITOLEA NI SALAMA KWELI????

KWINI WA VIJIMAMBO