Edward Taji akiwa na Ismahan, mchumba wake kwenye sherehe ya kushutukizwa ya siku yake ya kuzaliwa iliyofanyika Greenbelt, Maryland.
Taji akiimbiwa wimbo wa siku ya kuzaliwa.
Taji akizima mishumaa.
Ismahan akimlisha keki Chuchu lake..
Taji akimlisha keki Chuchu lake
Taji akipata Ukodak moment na wageni wake waliofika kwenye sherehe yake ya kushutukiza ya siku ya kuzaliwa iliyofanyikia Greenbelt, Maryland Jumamosi June 30, 2012
Taji akipata picha na Rebecca (mama mwenye nyumba wake George
Taji kwenye picha ya pamoja na Irene
Taji akipata picha ya pamoja na Tumba aliyekuja toka New York.
Taji akipata picha na marafiki waliofika kwenye sherehe ya kushutukizwa ya siku yake ya kuzaliwa.
Taji akipata picha ya pamoja na Ismahan na Dean Nyalusi.
Taji akipata picha ya pamoja na marafiki zake.
Kwa picha zaidi Bofya Read More
15 comments:
kumradhi wadau sina nia ya kuchafua hali ya hewa ila nina swali huko mamtoni mbona choka ile mbaya kuanzia mazingira yanatisha kuangalia mavazi waliyovaa watu choka choka hivi mamtoni ni kubaya namna hii au ni mtizamo wangu mimi tu mnatuogopesha wadau wa mamtoni bora mrudi nyumbani panapendeza,
Huyo zai kumlisha mwezie cake kwani g'day yake
Namjibu jamaa hapo juu ,kama unajua USA ni chimbuko la kila kitu, seham iliyofanyiwa ni uani kwa mtu,pili marekani watu wameacha mambo ya kuvaa nakujipodoa kama huko africa , hii ni style dawg,yaani sasa hivi fusion ni kua original,
mdau wa kwanza hujakosea! mpaka nami nimeogopa! kama wapo kijijini jamani!
Wadau hapo hivimlitaka watu wavae suti na tai au wavae kama ray wa muvi za bongo? Mashati ya Disko? U gat to be really watu wamekutana kwa nyamachoma nyumbani kwa mtu kwahiyo hakuna kupania katika mavazi....pia huko mmezoea mambo ya kujichubua na nini ila huku nop ni natural.
Mnavaa na juju podia wakati kazi si bora waveband mabox kuvaa kumepitwa na wakati Hilo nguo mnazosema mnavaa na kujipoa mikopo.pili kuna mad wakujipodoa na sehemu ya kujipoa...greens kwanza kuvaa badae.Musa waambie hao wazushi
sasa wewe mdau wa kwanza, bbq tu ulitaka watu wavae sare na wakodishe matarumbeta? watu wametokezea according to the occassion siyo bongo kila shughuli watu wanajikandika powder za baby johnson usoni na sare. tatizo wewe umezoea mikorogo, majuu watu ni natutal. kuna watu wamechoka kama huko bongo! bongo watu hawajachoka tu ni wamechakaa!
duh watu walionyimwa visa utawajua tu, wana hasira balaa. mtu na akili zako timamu kweli uka-judge mafanikio ya mtu basedi on mavazi!
Unajua maana ya bbq???You should check in the dictionary,ooops !!!mtu mwenyewe hata kizungu hujui.
Wabongo mmezoea Evisu,apple bottom jeans,rocca wear.nike za kuchumpa.vijinzi vya kubana Kama wapopo.watanzania bongo mmezidi kuwaiga wanaigeria.huku ukivaa Kama managerial mashati ya disko na vijinzi vya kubana Vyenye minyororo kiunoni unachekwa.nyie mnaona fashen.mme aribika na muvi za wapopo.unyamwezi ndio baba na mama wa fashen duniani.acheni kuiga wapopo na muvizenu za kina cheni
nyie ndo wale kila shughuli mnatokezea mmevaa red carpet dresses
AISEE KWELI MMECHOKA MBAYAAAAAA....PIA NADHANI NA UZEE USHAWAFIKA TENA WENGI WENU INABIDI MKUWE SASA DUH!
Haaaahaaa! We uliyemtaja zai na Dullah nakuonea huruma.maana hamna Hata aliyekujali sababu wenzako hawana matatizo na watu hapa dc.na Dullah hataki mwengine. Zaidi ya zai, kwa hiyo jaribu kwa wagomvi wenzako wa enzi za utamu.Helo Helo ya kingwendu
HIVI WATU MNANINI JAMANI SI MFANYE NA NYIE BBQ TUONE ACHENI WIVU JAMANI......
Napitaaaaaaaaa mwenzenu siyawezi,maana ni vipande na vipandio kwa kwenda mbele,jamani tuelemishaneni sio kuchambana,hata kama mko majuu hukuzaliwa majuu ulizaliwa bongo kwenye hizo poda za baby Johnson,muhimu ni kumuelimisha mwenzenu kuwa haikuwa party ya ukumbini,kama kujichubua hata majuu mbona wanapaka mikorogo tena kwa kuuziwa bei mbaya na inatolewa bongo kuletwa majuu,msiwaponde ndugu zenu kwa vile nyie mmebarikiwa kuwa majuu,WOTE NI WABONGO TU HATA KAMA UNA KARATASI LA OBAMA WEWE NI M'BONGO TU.
Post a Comment