Mh. Mohammed Dewji Mbunge wa Singida Mjini alipokuwa katika mahojiano na Mtangazaji Fina Mango wa Magic FM katika kipindi cha Makutano. Kama hukupata muda basi wakutune Magic FM jana sikiliza Mahojiano hayo hapa chini. Thank you to Subira Wavuti.com
Huyu Dewji na wenzake wa aina hii wanatakiwa wachague moja 2015 either kuendelea kuwa mfanyabiashara au mbunge/mtumishi wa watu. Huwezi kuwa mbunge miaka yote hiyo kwenye jimbo maskini kupindukia wakati wewe na familia yako tu ndio mnafanikiwa. Ni either hutimizi wajibu wako, or hujui unachokifanya or unatumia umaskini wa watu wako kujiendeleza. Kwakweli inasikitisha. Nothing personal Dewji- kwenye zama hizi lazima tuambiane ukweli. Haiwezekani uwende kwenye jimbo kuwagawia waalimu 50,000 kila mmoja "out of your pocket" wakati bungeni hujawahi kutetea haki za waalimu hata siku moja. In long run hii inawasaidiaje waalimu? Na je wasiohudhulia mikutano yako hawana haki kama waalimu wengine? Je uchaguzi unapoisha then na majukumu yako kwenye jimbo yanaisha mpaka chaguzi nyingine?
ReplyDelete