Choma nyama ya matayarisho ya mkutano wa DICOTA iliyofanyikia Montroze Drive kwenye Ziwa Michigan, Chicago, IL Nchini Marekani Mkutano huu wa DICOTA utafanyika kuanzia Aug 30- Sep 2, 2012 katika Hotel ya Marriott iliyopo mjini hapo na mnakumbushwa baada ya Aug 15, 2012 Gharama za usajili katika ushiriki wako kwenye mkutano huu zitapanda nakua $219 badala ya $149 na ukitaka kujisajili tembelea www.dicotaus.org
Viongozi wa DICOTA na Jumuiya ya Watanzania Chicago ( TCA) katika picha ya pamoja.
Watanzania wa Chicago katika picha ya pamoja.
Choma nyama iliyoandaliwa na kamati ya matararisho ya mkutano wa DICOTA na kuwajumuisha Watanzania na marafiki zao kutoka kila kona ya Chicago na vitongoji vya jirani
Watanzania wa Chicago na marafiki zao wakiendelea na Choma nyama iliyofanyika Jumamosi Aug 11, 2012 Montrose Drive karibu na ufukwe wa Ziwa Michigan
Watanzania waliojumuika pamoja kwenye Choma nyama Chcago wakipata picha ya pamoja.
Kula nyama choma huku Ukodak moment ukiendelea.
Watanzania waliojumuika pamoja kwenye nyama choma iliyofanyikia Montrose, Chicago wakiendelea kula nyama katika matayarisho ya mkutano wa DICOTA utakaofanyika Marriott kuanzia Aug 30- Sep 2, 2012.
Ukishikwa, shikamana
Watanzania wa Chicago na marafiki zao katika picha ya pamoja.
Kwa picha zaidi Bofya Read More
No comments:
Post a Comment
bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake