Saturday, August 11, 2012

STARS UNITED VITAMBI FC HAKUNA MBABE

 Timu ya Vitambi FC ya Wakenya waishio DMV ikipata picha ya pamoja kabla ya mechi na Stars United  iliyochezewa Greencastle, Silver Spring na kupelekea timu hizo kutoka sare ya bao 4-4
 Timu ya Stars United ikila jaramba kabla ya gemu
 Timu ya Stars United ikipata picha ya pamoja kabla ya gemu.
 Refa Sule kutoka uganda
 Dadas na mama wa mchezaji wa Stars United, Libe (hayupo pichani) wakiwasili uwanjani kuipa nguvu timu.
 Libe (kati) akimtambulisha Vincent kwa mama yake.
Libe akiwa na familia yake akipata picha ya pamoja na Dedi Luba (wa kwanza kulia), Evans ( wapili toka kulia) na Vincent

No comments:

Post a Comment

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake