Watanzania wakijumuika pamoja kwenye Futari iliyofanyika Hillandale Park, Silver Spring hapa wakiwa kwenye utaratibu wa kuchukua chakula.
Watanzania wa DMV wakijumuika pamoja kwenye Futari ya pamoja na hii huenda ndio ikawa Futari ya mwisho kwani sikukuu ya Eid inaweza ikawa Jumamosi au Jumapili wiki hii.
Watanzania wa DMV wakiendelea na utaratibu wakuchukua Futari
Watanzania wa DMV wakiwa kwenye Futari ya pamoja.
WanaDMV wakijumuika pamoja kwenye Futari.
WanaDMV wakiendelea na utaratibu wakujipatia Futari.
Utaratibu wa kujipatia Futari ukiendelea
Watanzania wa DMV wakijumuika pamoja kwenye Futari iliyofanyikia Hillandale Park Jumapili Aug 12, 2012 Silver Spring, Maryland.
WanaDMV wakifuturu pamoja.
Yusuf mmoja wa viongozi wa Jumuiya ya Kiislam DMV (TAMCO) akiongea jambo.
Kwa picha zaidi bofya read more
No comments:
Post a Comment
bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake