Salma JJ (Londa) akiwa kwenye Hitma ya Bibi yake Souz Ramadhani aka Bibi Fimbo kilichofanyika Jumamosi Aug 11, 2012 Hillandale Park Silver Spring, Maryland.
Baba mwenye nyumba wa Salma JJ akiwa nae kwenye Hitma ya Bibi Fimbo.
Kisomo kikiendelea
Salma JJ akiwa na rafiki yake Missy Temeke
Watanzania wakijuika pamoja kwenye Futari ya pamoja na Hitma ya Bibi Fimbo iliyofanyika Jumamosi Aug 11, 2012 Hillandale Park.
Akina mama wakijumuika pamoja kwenye futari ya pamoja na Hitma ya Bibi yake Salma JJ
Watanzania wakipata picha ya pamoja kwenye Futari ya pamoja iliyojumuisha Hitma ya Bibi Fimbo
Watoto nao wakipata picha ya pamoja.
Watanzania wa DMV wakiwa kwenye Futrai ya pamoja
Watanzania wakibadilishana mawili matatu baada ya Hitma na Futari ya pamoja.
Kwa picha zaidi Bofya Read More
No comments:
Post a Comment
bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake