Wednesday, August 8, 2012

HITIMA DMV, LEO JUMATANO


Habiba na Farida Jetha wanawataarifu hitima ya kaka yao mpendwa Mohammed Jetha aliyefariki Jumanne Aug 7, 2012 Tanzania. Hitima itafanyika leo Jumatano Aug 8, 2012 saa 1:30 Usiku (7:30 pm)
Address ni 
2445Lyttonsville Rd, 
Silver Spring, MD 20910

Kwa maelezo zaidi na maelekezo wasiliana na:
Farida Jetha 240 593 7370
Habiba Jetha 240 778 7567
Jabir Jongo 240 604 0574

Tafadhali tujumuike na wafiwa katika kipindi hiki kigumu cha kuondokewa na kaka yao mpendwa.

Kufika kwako ndio mafanikio ya hitima hii, Asante.

No comments:

Post a Comment

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake