Thursday, August 9, 2012

HITMA YA MOAMMED JETHA, DMV

Habiba Jetha (kushoto) akiwa na Dada yake Farida Jetha na mtoto wa Habiba katika picha ya pamoja wakati wa Hitma ya mpendwa kaka yao Mohammed Jetha iliyosomwa Silver Spring, Maryland Jumatano Aug 8, 2012.
Kulia ni Mwambata wa Jeshi Ubalozi wa Tanzania Nchini Marekani, Brigedia Jenerali Maganga katika picha ya pamoja na Rais wa Watanzania DMV Bwn. Iddi Sandaly
Watanzania waliojumuika pamoja katika Hitma ya mpendwa kaka yao Habiba na Farida Jetha (wahawapo pichani) Iliyofanyika Jumatano Aug 8, 2012 Silver Spring, Maryland.
Farida Jetha akiwa na Watanzania waliojumuika nae katika Hitma ya kaka yake mpendwa iliyofanyika Jumatano Aug 8, 2012 Silver Spring, Maryland.
Kisomo kikiendelea
Farida kulia akiwa na Watanzania waliojumuika nae katika Hitma ya mpendwa kaka yake aliyefariki siku ya Jumanne Aug 7, 2012, Tanzania.
Watanzania waliojumuika na wafiwa wakiwa kwenye kisomo
Mke wa Mwambata wa Jeshi wa Ubalozi wa Tanzania Nchini Marekani, Love Maganga ( wapili toka kushoto) akiwa na Watanzania waliojumuika pamoja katika Hitma ya Mpendwa kaka yao Habiba na Farida (hawapo pichani) iliyofanyika Jumatano Aug 8, 2012 Silver Spring, Maryland.
Watanzania waliojumuika pamoja kwenye Hitma ya Mohammed Jetha wakiendelea na kisomo.
Mwenyekiti wa CCM DMV Loveness Mamuya (kulia akiwa na Missy Temeke
Kwa picha zaidi Bofya Read More

No comments:

Post a Comment

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake