Wednesday, August 8, 2012

MAKAMU WA RAIS AFUNGA MAONYESHO YA NANE NANE

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt.Mohammed Gharib Bilal, akionyesha Tuzo aliyokabidhiwa kwa niaba ya Rais JakayaKikwete ikiwa ni sehemu ya kutambua mchango wa Rais katika kusimamia nakuendeleza Kilimo Kwanza, wakati Makamu alipokuwa akifunga rasmi maonyesho yaSikukuu ya Wakulima Nane Nane katika Viwanja vya Nzuguni mjini Dodoma leoAgosti 8, 2012. Kushoto ni Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika, ChristopherChiza. Picha na Muhidin Sufiani-OMR

No comments:

Post a Comment

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake