Thursday, August 9, 2012

MAMA KIMOLO ANAWAALIKA NDUGU NA MARAFIKI KWENYE CHAKULA CHA JIONI SIKU YA 08/11/12 JUMAMOSI HII.

Mama Kimolo anawakaribisha ndugu na marafiki kwenye birthday dinner ya mama yetu mpendwa Maria Mushi itakayo ambatana na ibada fupi, dinner hiyo itafanyika 08/11/12 jumamosi hii kuanzia  saa 12 jioni  (6 PM) hadi saa 8 usiku (2 AM). 

Address ni 
4660 Martin Luther King Ave, Apt C-111 SW, 
Washington DC 20032.)

Dinner hiyo itaambatana na fundraising ya kuwezesha  mama yetu Maria Mushi  kupelekwa Mayo  Clinic  kwa matibabu zaidi kutokana na maradhi yanayo msumbua. Tafadhali ndugu na marafiki tunawakaribisha na tunaomba mchango wako ili tufanikishe  mipango hiyo ya matibabu.. Mama Kimolo phone # 301 792 5354.

No comments:

Post a Comment

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake