Wakati wa Iddi mosi ilifanya Tamasha hilo katika uwanja wa Sheikh Amri Abeid na lilikuwa tamasha la pekee na lilihudhuriwa na idadi kubwa ya watu wa Arusha,Moshi na vitongoji vyake vyote,Mkurugenzi wa Radio hiyo Bwana Julius Makiri alisema kuwa huo ni mwanzo tuu na wanategemea kuboresha matamasha hayo kila mwaka ili kuwaweka wasanii wa kanda ya Kaskazini katika hadhi inayotakiwa.



No comments:
Post a Comment
bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake