Friday, August 31, 2012

MHE. AMAN KARUME AWASILI MAREKANI KWA AJILI YA MKUTANO WA DICOTA, CHICAGO

Mhe. Aman Karume (kulia) Rais mstaafu awamu iliyopita Zanzibar akiwasili Nchini Marekani siku ya Jumanne maalum kama mgeni rasmi mkutano wa DICOTA unaonza wikiendi hii kuanzia kuanzia Alhamisi Aug 30 - Sept 2 Chicago, IL mwingine kwenye picha ni Mwambata wa jeshi Ubalozi wa Tanzania Nchini Marekani, Brigedia Jenerali Maganga

No comments:

Post a Comment

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake