Mkutano wa viongozi wote wa Jumuiya, Executives, Board Members pamoja na wajumbe wote wa Kamati unatangazwa kwa ajili ya kujadili mambo muhimu yanayoihusu Jumuiya yetu. Ni siku ya Jumapili, tarehe 12 August 2012, saa kumi kamili ( 4.00PM) bila kuchelewa. Venue ya kikao hiki itatangazwa siku mbili kabla ya kikao. Tafadhali thibitisha kuhudhuria kwako ili Jumuiya iweze kuandaa nafasi yako ya kwenye kikao. Kikao hiki ni muhimu sana hivyo kuhudhuria kwako ndiyo mafanikio ya Jumuiya yetu.
KATIBU WA JUMUIYA
No comments:
Post a Comment
bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake