Tuesday, August 14, 2012

MWANAMKE AVAMIA KANISA WAKATI MUMEWE AKIOA MKE MWINGINE




Kuna ishu nyingine tumezoea kuziona kwenye movie au kuzisikia kwa wengine tu lakini hatujawahi kuzishuhudia.. sasa nimeipata hii video ya NTV, sio movie ila ni kisa cha kweli kabisa.
Stori ni kwamba mwanamke ameibuka kanisani ghafla baada ya kupata taarifa kwamba mume wake anafunga ndoa na mwanamke mwingine. 



No comments:

Post a Comment

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake