ANGALIA LIVE NEWS

Tuesday, August 28, 2012

PICHA NA NYUSO ZA FURAHA SIKU YA BBQ YA JUMUIYA DMV


4 comments:

Anonymous said...

Jamani si vibaya kuwa na babakyuu ,lakini itakuwa vizuri pia kama mkiwa mnauzulia pia siku ya mazoezi DMV,ili walau mpunguze ivyo vitambi,bila kusahau wakina dada pia mnatakiwa mpunguze iyo miili ,haimaaanishi mazoezi ni ya wanaume tu,tupunguze jamani iyo miili,hata kama jamani tupo marekani haimaanishi inabidi tujinenepee ivyo ndo watu wajue tuna maisha mazuri.izo fikira zakunenepeana zilishapitwa na wakati.
tukumbuke mazoezi wana DMV.
bila kusaau nampongeza DJ aka Mpwa na Idd sandaly kwa kuwa mfano siku ya mazoezi DMV.
mwana Mazoezi DMV.

Anonymous said...

mbona sijaona hapo aliyejinenepea, naona sizes za wastani tu. hata hivyo sisi wengine tunapenda kuwa na nyama nyama not everybody like to be skinny!

Anonymous said...

NOOOOOP mm ugonjwa wa DJ luke wanawake wanene na waliojichubuwa.

Anonymous said...

Everyone looks fabulouseeeee....One Love!!.....Watoto wa Mze Boas mbona hawaonekani siku hizi?//Kulikoniii?