Saturday, August 11, 2012

Picha Za Ajali Ya Gari Yaua Raia 11 Wa Kenya Eneo La Wami Mkoa Wa Pwani


Baadhi ya abiria walionusurika wakiwa katika eneo la tukio kabla ya kupata msaada.
Baadhi ya wakazi wa kitongoji cha Makole Mkoa wa Pwani wakiangalia ajali ya gari iliyotokea leo katika eneo la Mto Wami na kusababisha vifo vya watu 11 wote wakiwa raia wa Kenya.
Basi lililokuwa limewabeba raia wa Kenya waliokuwa wakielekea jijini Dar es salaam kwa ajili ya mikutano ya injili likiwa limetumbukia katika korongo jirani na Mto Wami na kuua watu 11 katika Kijiji cha Makole Mkoa wa Pwani.

Picha kwa hisani ya Habari Mseto Blog

No comments:

Post a Comment

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake