Juu na chini ni Bwana na Bi Harusi wakiwa na nyuso za furaha baada ya harusi yao iliyofanyika Dar Es Salaa,Tanzania Jumamosi Aug 11, 2012 katika kanisa la Kanisa Mennonite la Upanga na baadae Reception Kunduchi Beach Hotel and resort
Bwana Harusi Julius akiwa na ndugu, jamaa na marafiki waliojumuka nao kwenye harusi yake na Mkewe Hanah
Julius akiwa na marafiki zake wa Ugaibuni na Bongo
Bwana Harusi (kati) akiwa na familia ya Chacha
Bwana Harusi akiwa na familia yake kutoka kushoto ni mdogo wake Veronica, Julius (bwana harusi) Mama Mzazi na kaka yake Jenge.
Congratulations Makiri and Hannah may god bless your union.
ReplyDeleteAnd what about your daughter, hmm? Never thought of her during all of this? You're a disgrace.
ReplyDelete