Saa hii yenye thamani ya $ 500.000 sawa na ml 775 kwa pesa ya madafu ni custom made katengenezewa yeye special kwa ajili ya kuivaa katika mashindano ya Olympics uko London, maafisa wa olympics wameaza zengwe kulalamikia juu ya saa hiyo ya bei chafu kuvaliwa katika mashindano hayo. |
Ningependa kusahihisha hiyo habari kidogo. Wamekataa asivae hiyo saa siyo kutokana na bei yake, ni kwa sababu ya kukiuka makubaliano yaliyopo kati ya sponsors wa mashindano na waanadaaji. Waandaji nao wamekubaliana na wanariadha. Sasa kwa hilo kuna kampuni ambayo inatangaza saa zao kwenye olimpiki. Unaweza kuvaa only saa zao tu. Huwezi kuvaa saa nyingine ya aina yoyote. Hata saa ya seiko.shukran,
ReplyDelete