ANGALIA LIVE NEWS

Saturday, August 25, 2012

RODGER’S EXPORTS





MAELEKEZO NA UTARATIBU WA
BEI ZA USAFIRISHAJI WA MIZIGO Z.N.Z/D.S.M
NDUGUZANGU WATANZANIA NAPENDA KUWAJUILISHA WATU WOTE WANAO PENDELEA KUNUNUA NAFASI ILIYOMO NDANI YA CONTENA MALIPO YANAKUA KWA KILA (5 FT) PAMOJA NA USHURU WA TANZANIA ($1600-5FT).($3000-10FT)BEI HIYO NIKWA WAKAZI WA (NC, VA, DC, NY, NJ, PA, GA, MD, DEL, OH)
USAFIRISHAJI WA BOXES, SUITCASE, PLASTIC CONTAINERS, BEI ITAKUA ($150 KWA 80-85LBS) ONGEZEKO LA PAUND KUTOKA (85) KUAENDA JUU KILA PAUNDI MOJA ITAKUA ($2), KWA WALE WATAKAO PENDELEA KUSAFIRISHA (BOXES) NAWAOMABA SANA WATAFUTE MABOX YENYE UMAZUBUTI, (HAVI DUTT BOXES) NA BOX LEWE NA UKUABWA WA (24 X 24 INCHES) KAMA MNAVOJUA MABOX YASIOKUA NA UMAZU BUTI NI RAHISI SANA KUCHANIKA USALAMA WA MIZIGO YAKO NDIO KITU CHA KWANZA TUNACHO ANGALIA
VILE VILE TUNASAFIRISHA (ALL APPLIANCES) SUCH AS WASHERS & DRYERS, DISHWASHER, REFRIGERATOR, LIVING ROOM SETS, BEDROOM SETS AND ALL ELECTRONICS. WASILIANA NA MIMI KWA MAELEZO ZAIDI YA BEI
HAKUNA MALIPO YA ZIADA KWA MTU YEYOTE MIZIGO INAPOFIKA BANDARINI (D.S.M) KHARAMA ZA USHURU NI JUYANGU NA MIZIGO ITAKABIZIWA KWA WAHUSIKA KARIAKO (D.S.M), (ANYONE WHO CAN DELIVER THEIR OWN MECHANDISE TO (NC) WILL RECEIVE A DISCOUNT) USAFIRI UTAKUWEPO SEPTEMBER 30TH 2012 CONTENA LINAONDOKEA NC BILA YA KUSAHAU SEPTEMBER 14TH-16TH NITAKUWEPO KATIKA STATE ZA (OH, PA, DC, DEL) KWA UKUSANYAJI MIZIGO WASILIANA NA HAJI KWA MAELEZO ZAIDI (919-672-6063) AU NIANDIKIE EMAILRodgersexports@gmail.com NAWASHUKURU WALE WOTE WANAO SHIRIKIANA NASI KATIKA BIASHARA YETU HII

No comments: