Mwenyekiti kamati ya maandalizi ya uzinduzi wa ukumbi Rodrick Naluke akiwakaribisha wageni waalikwa katika ukumbi huo wa mtenda |
Mkurugenzi mtendaji wa mtenda sunset George Mtenda akiwa na mkewe akiwashukuru wageni waalikwa katika sherehe za uzinduzi wa ukumbi wake |
Mkuu wa wilaya ya mbeya akimkabidhi zawadi ya picha mkurugenzi wa mtenda toka kwa wanakamati walioandaa uzinduzi wa ukumbi huo kwa picha zaidi bofya read more |
Baadhi ya wanakamati wakiwa katika picha ya pamoja na mkuu wa wilaya ya Mbeya |
Baadhi ya wageni waalikwa wakifuatilia matukio ya uzinduzi wa ukumbi wa mtenda |
Ndani ya ukumbi wa Mtenda sunset |
Huu ni ukumbi wa kufanyia mikutano na warsha mbalimbali |
Picha na Mbeya yetu blog |
No comments:
Post a Comment