Dada akiuza sambusa na mihogo ndani ya uwanja wa John mwakangale jijini Mbeya |
Mama na mwana wakitembeza makoti ya kujikinga na baridi uwanjani hapo maana ikishaingia jioni ni baridi ile mbaya |
Nao wauza nyama hwawapo nyuma katika maonyesho haya ya nanenane yanayoendelea jijini Mbeya |
Wachoma nyama nao ni faida tupu kipindi hiki |
Wachezesha gulugulu wengine husema kamali nao wapo kazini kujipatia kipato chao katika maonyesho haya |
Hakika ni watu wengi sana wanaojitokeza kila siku kuja kutembelea mabanda na kuona burudani mbalimbali uwanjani hapa |
No comments:
Post a Comment
bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake