Tuesday, August 14, 2012

WAZIRI MKUU PINDA ATOA CHANGAMOTO KWA WANAFUNZI KUWA NA NIDHAMU ILI WAFAULU

Waziri Mkuu Mizengo Pinda akitoa wosia kwa Wanafunzi 20 waliofanya vizuri katika mitihani ya kidato cha sita kwa mwaka 2012 bungeni leo mjini Dodoma. Wanafunzi hao 10 wasichana na 10 wavulana wamepewa cheti , kompyuta ya pakato (laptop) na fedha taslimu shilingi laki mbili kwa kila mmoja.

No comments:

Post a Comment

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake