Thursday, August 30, 2012

Website na Blog za Watanzania DMV.

 Tunapenda kuwatangazia kuwa website na Blog za Watanzania DMV zipo hewani.
Tafadhali tembelea www.watanzaniadmv.org (Mtandao) na www.watanzaniadmv.blogspot.com (blog).

Tunaomba kama mtu ana maoni au ushauri tafadhali tutumie kupitia info@watanzaniadmv.org.
Tafadhali msikilize Mwenyekiti, Iddi Sandaly, akitoa machache.
Ahsanteni sana.



Video imerekodiwa na IskaJoJo Photography.

No comments:

Post a Comment

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake