Monday, August 6, 2012

YANGA YAPELEKA KOMBE LA KAGAME BUNGENI DODOMA


Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiwa katika picha ya pamoja na wachezaji wa timu ya Yanga ambao walipeleka Kombe la Michuoano Kagame Bungeni Augost 6, 2012. Kushoto kwake ni Mama Fatuma Karume mlezi wa timu hiyo ya Yanga. Yanga ilishinda kombe hilo hivi karibuni katika michuano ya Kombe la kagame iliyomalizika jijini Dar es Salaam. 

Wachezaji wa timu ya Yanga wakiwa katika foleni ya kuchukua futari iliyoandaliwa na wabunge mashabiki wa timu hiyo
Wachezaji wa timu ya Yanga wakiwa katika foleni ya kuchukua futari iliyoandaliwa na wabunge mashabiki wa timu hiyo

Mwenyekiti wa wabunge mashabiki wa Yanga, Mohamed Misanga akimkabidhi Naodha wa timu hiyo,Haroub Nadir  (Canavaro) Sh Milion mbili ikiwa ni mchango wa wabunge hao kama zawadi kwa wachezaji kwa kutwa kombe la Michuano ya Kagame iliyomalizika hivi karibuni

No comments:

Post a Comment

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake